The Suba legislator further said the coalition will on Monday ensure that lawyer Miguna Miguna is freed from Lari police station in Kiambu. Mbadi added that NASA leaders will Tuesday surrender at Central Police Station to explain why they attended Raila's ‘swearing-in’. Ile kitu tunangoja ni Raila kutangaza baraza la mawaziri…na mimi kama kiongozi wa serekali ya NASA…ninangoja list ya Raila Odinga nipeleke bungeni ili tufanye vetting waanze kufanya kazi. “Sisi tumeongea na tukakubaliana kesho ni mambo ya Miguna…generali Miguna Miguna ndio tunashughulikia maneno yake kesho, na siku ya Jumanne ni ya sisi sote tutaenda Central Police Station. “Kama serekali haiwezi kuogopa na kutii sharia…sisi kama wananchi hatuna nafasi ya serekali kama hio.
Source: Standard Digital February 04, 2018 19:15 UTC