NTV Kenya: Vile wasanii wa Kibera wanatumia art kupunguza effects za climate change - News Summed Up

NTV Kenya: Vile wasanii wa Kibera wanatumia art kupunguza effects za climate change


Environment imeaffectiwa kila mahali mostly mashinani na mitaani, ju yah ii story, nimeleta conversation ya Climate change mtaani na aim ni kucreate awareness, kucorrect, na pia ku inform wasee about effects zake. Nitakua nikikuletea story za Arif wanafanya positive things kupunguza effects za Climate change na Pollution. On our first episode nakuletea Gen Z watano, artists from Kibera. Wanaokota vitu kutoka kwa pipa, wanamake art then wanapiga mboka.


Source: Daily Nation May 08, 2024 16:43 UTC



Loading...
Loading...
  

Loading...

                           
/* -------------------------- overlay advertisemnt -------------------------- */