Marehemu Johana Ng'eno atajwa kama aliyepigania haki za wakazi wa Emurua Dikirr - News Summed Up

Marehemu Johana Ng'eno atajwa kama aliyepigania haki za wakazi wa Emurua Dikirr


7:53 pm | NTV Video 1,351 views Duration: 4:31Marehemu Johana Ng'eno ametajwa kama mwanasiasa aliyekuwa na msimamo dhabiti, na kiongozi mcheshi, mwenye busara aliyepigania haki za wakazi wa Emurua Dikirr, haswa dhidi ya mipango ya kutimuliwa kutoka makwao. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya


Source: Daily Nation March 04, 2026 23:40 UTC



Loading...
Loading...
  

Loading...

                           
/* -------------------------- overlay advertisemnt -------------------------- */